ITAMBUE ROHO YA CHUMA ULETE KWENYE PESA ZAKO

 ITAMBUE ROHO YA CHUMA ULETE KWENYE PESA ZAKO



DALILI 5 ZA CHUMA ULETE


1 Unapo shika pesa tu lazima kutokee tatizo au ugonjwa wa mtu anae kuhusu na unao kulazim utoe pesa


2. Unatumia matumizi kidogo lakini pesa unaona imekwenda nyingi, tofauti na ulivyo tumia


3. Kila issue ya pesa wewe unayo ingia lazima utapata kidogo au pungufu ya ulicho ahidiwa kifupi utazurumiwa kwa sehem.


4. Kila kazi yoyote ya pesa ukisha husishwa lazima ilete ugum wa kupatikana hiyo pesa au Iharibike kabisa.


5. Unaweza kufika sehem unayo ambiwa hapa kuna pesa baada ya kufika wewe unaambiwa kabla hujaja pesa ilikuwa nyingi sana umechelewa kidogo tu mambo yamebadika


Ukiona dalili hizi kwenye maisha yako ujue unahitaji maombi ya ukombozi, siyo hali ya kawaida kuna roho za chuma ulete zina tembea na maisha yako bila wewe kujua.


Inauma sana mtu Unatamani kuwasaidia wazazi , 

ndugu , marafiki lakini ukijitazama wewe mwenyewe hauna chochote na unahitaji msaada pia , 


Yawezekana mshahara wako ni mdogo na hautoshelezi au haujapata kazi

No comments

Post a Comment

Shajara Yetu © all rights reserved
MKATOIKI KIGANJANI by mitume technologies