Kifo cha Msalaba ni adhabu ya aibu kwa wahalifu wakubwa katika enzi za utawala wa Kirumi. Kwa upendo na msamaha wa Mungu, Yesu Kristo anakubali kuteswa hadi kufa msalabani kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Baada ya yote hayo bado alishinda vita kwa kufufuka siku ya tatu, ni Mwamba imara usiotikisika. Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi inakuletea wimbo unaomuelezea Yesu jemedari wa vita, na Mwamba aliyeshinda mauti kwa kujitoa sadaka. WIMBO: MWAMBA YESU KAFUFUKA
KWAYA YA SIKU

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments
Post a Comment