AMRI ZA MUNGU
1. NDIMI BWANA MUNGU WAKO, USIABUDU MIUNGU WENGINGINE.
2. USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO.3. SHIKA KITAKATIFU SIKU YA MUNGU.
4. WAHESHIMU BABA NA MAMA, UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI.
5. USIUE
6. USIZINI
7. USIIBE
8. USISEME UONGO
9. USITAMANI MWANAMKE ASIYE MKE WAKO
10. USITAMANI MALI YA MTU MWINGINE
No comments
Post a Comment