Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi inakukaribisha kuutazama wimbo mzuri unaohusu maisha hayo ya umilele huko Mbinguni.

 Hatima ya Maisha ya Mkristo hapa Duniani ni Maisha mengine ya Umilele na Watakatifu huko Mbinguni.

Huko Mbinguni kazi ni moja tu, kuimba pamoja na Malaika na watakatifu wote tukikizunguka kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu. Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi inakukaribisha kuutazama wimbo mzuri unaohusu maisha hayo ya umilele huko Mbinguni. WIMBO: MBINGUNI FURAHA WAIMBAJI : KMK MAKUBURI MTUNZI : BERNARD MUKASA ORGANIST : FRIDOLINUS MUKASA AUDIO BY : HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY : IRIS EMPIRE & KMK DIGITAL PRO SCRIPT WRITER : HENDRY KIMARIO

No comments

Post a Comment

Shajara Yetu © all rights reserved
MKATOIKI KIGANJANI by mitume technologies