TAFAKARI YA MASOMO YA MISA 1,OCTOBER

Tafakari ya masomo ya Misa 1 octerber

MATENDO HUTOSHELEZA MAHITAJI
KULIKO MANENO: Nina
hayo au nyamaza kimya. lsaya
anazungumzia jambo hilo asemapo,
"Matendo hutosheleza mahitaji,
kuliko yafanyavyo maneno." Hiyo
ndiyo changamoto ambayo Yesu
anawapatia wakuu wa makuhani, na
wazee katika Injili ya leo. Ni rahisi
kuitangaza Habari Njema na hivyo
kudhani kwamba sisi ni watakatifu.

Ila, kuihubiri Injili, na kutenda jinsi Injili
inavyoagiza, ni mambo mawili tofauti.
Yesu anasema leo kuwa watoza
ushuru na makahaba wanaisikiliza
Injili kuliko wafanyavyo wakuu wa
makuhani na wazee. Nguzo mojawapo
katika maadili ya Kikristo, ni kujisahau
kwa ajili ya wengine. Hii inamaanisha
kuwaona wengine kuwa bora kuliko
wewe. Hivyo, kila mmoja asijiangalie
nafsi yake mwenyewe kwanza, bali
amwangalie mwenzake kwanza.
Tukilitenda hilo, tutapiga hatua ya
kutafuta ukamilifu, furaha, na haki.

Ndipo Mt. Paulo anawaambia Wafilipi
wawaone wengine kuwa bora zaidi
kuliko wao. Ndipo watakuwa tofauti na
wakuu wa makuhani na wazee. Huu ni
unyenyekevu na upole anaotuonyesha
Mt. Paulo. Huku ndiko kumuiga Kristo,
kufikiri kama Kristo. Tunakumbushwa
kuwa Yesu Kristo kwa asili alikuwa
daima Mungu. Lakini hakufikiri kule
kuwa sawa na Mungu ni kitu cha
kung'ang'ania kwa nguvu bali kwa hiari
yake mwenyewe aliachilia hayo yote.
Akajitwalia hali ya mtumishi akawa
sawa na wanadamu, na alipoonekana
kama wanadamu, alijinyenyekesha na
kuti mpaka kufa hata kufa msalabani.
Hili sio jambo la kujionyesha bali
ulikuwa ni wajibu wake. Alisema,
"Kama maisha katika roho yana
maana yoyote kwako, na kama upendo
utafuata hayo yote, na uunganike
katika kile unachokisadiki,
kuunganika katika kile unachokipenda,
ukiwa na mawazo yale yale na ukiwa
na lenao lile lile. hili ndilo jambo
kuwa Yesu Kristo kwa asili alikuwa
daima Mungu. Lakini hakufikiri kule
kuwa sawa na Mungu ni kitu cha
kung'ang'ania kwa nguvu bali kwa hiari
yake mwenyewe aliachilia hayo yote.
Akajitwalia hali ya mtumishi akawa
sawa na wanadamu, na alipoonekana
kama wanadamu, alijinyenyekesha na
kuti mpaka kufa hata kufa msalabani.

Hili sio jambo la kujionyesha bali
ulikuwa ni wajibu wake. Alisema,
"Kama maisha katika roho yana
maana yoyote kwako, na kama upendo
utafuata hayo yote, na uunganike
katika kile unachokisadiki,
kuunganika katika kile unachokipenda,
ukiwa na mawazo yale yale na ukiwa
na lenao lile lile. hili ndilo jambo
wajibu wake
"Kama maisha katika roho yana
maana yoyote kwako, na kama upendo
utafuata hayo yote, na uunganike
katika kile unachokisadiki,
kuunganika katika ile unachokipenda,
ukiwa na mawazo yale yale na ukiwa
na lengo lile lile, hili ndilo jambo
ambalo litanifanya nijisikie mwenye
furaha." Je! Tuyasikiapo maneno hayo,
hatuinamishi vichwa vyetu kwa aibu
tukiikumbuka migawanyiko mingi
tuisababishayo katika jamii? Jambo
muhimu sio sisi kuwa Wakristo, bali
Ukristo tunaouishi.

No comments

Post a Comment

Shajara Yetu © all rights reserved
MKATOIKI KIGANJANI by mitume technologies