TAFAKARI YA MASOMO YA MISA 29 SEPTEMBER

Tafakari ya masomo ya Misa 29 September

 Mwanadamu hawezi
kwenda mbinguni peke yake, na tena
Mungu haji kwa mtu moja kwa moja.
Kati ya Mungu na wanadamu wapo
makuhani, na watu tofauti tofauti
Mungu awatumiao ili kutufikia.

Sikukuu ya leo inahusu viumbe
ambavyoni roho, yaani malaika. Hawa
wamo kati ya Mungu nasi wanadamu.
Wao hutuletea jumbe kutoka kwa

Mungu, hutulinda, hupambana na adui
wetu mkuu Shetani. Malaika wakuu
Mikaeli alipigana vita dhidi ya ibilisi
na jeshi lake (Danieli 10:21). Mikaeli
maana yake "Nani kama Mungu".

Gabrieli ni wa muhimu katika tukio
la Umwilisho. Tunaanza kumnsikia
Malaika Gabrieli katika Hekalu la
Yerusalemu akitangaza habari ya
kuzaliwa kwa Yohane Mbatizaji. "Mimi
ni Gabrieli nisimamaye mbele za
Mungu, na nimetumwa kuzungumza
kukuletea habari hii
njema." (Lk 1:19). Kisha analeta tena
habari nyingine ya muhimu kwa Bikira
Maria. Gabrieli maana yake ni "Nguvu
ya Mungu." Rafaeli anatokea katika
Sura va mtu katika kitanu cha Tobiti
Neno lake sio jambo la kuchezea, na
wakiuchukua ujumbe wa Mungu kama
watumishi wa Aliye Juu.
ya Mungu." Rafaeli anatokea katika
sura ya mtu katika kitanu cha Tobiti,
akimwongoza katika safari yake kijana
Tobia. "Mungu amenituma kuwaponya
wewe na mkwe wako Sara." Mimi ni
Rafaeli mmoja kati ya malaika saba
ambao wanasimama tayari na kuingia
mbele katika utukufu wa Bwana (Tobiti
12:14-15). Malaika hawa watakatifu
wanahusika katika vita vya kiroho,
wakitambua kwamba Mungu na

Neno lake sio jambo la kuchezea, na
wakiuchukua ujumbe wa Mungu kama
watumishi wa Aliye Juu.

No comments

Post a Comment

Shajara Yetu © all rights reserved
MKATOIKI KIGANJANI by mitume technologies